Fonatechstore
Kwa kutumia website hii, unakubali masharti yafuatayo:
1. Products & Pricing
- Bei zinaweza kubadilika bila taarifa ya awali.
- Tunajitahidi kuhakikisha taarifa za bidhaa ni sahihi.
2. Orders
- Oda nyingi hufanyika kupitia Take App.
- Oda inachukuliwa kuwa kamili baada ya kuthibitishwa.
3. Warranty
- Bidhaa nyingi zinakuja na warranty kulingana na brand au supplier.
- Uharibifu unaosababishwa na mtumiaji hauhusiki kwenye warranty.
4. Returns & Exchanges
- Kubadilisha bidhaa kunategemea hali ya bidhaa na muda tangu kununua.
- Bidhaa lazima iwe katika hali yake ya awali.
5. Limitation of Liability
Fonatechstore haitawajibika kwa hasara yoyote isiyo ya moja kwa moja inayotokana na matumizi ya bidhaa au website.
6. Changes to Terms
Tunahifadhi haki ya kubadilisha masharti haya wakati wowote bila taarifa ya awali.