Fonatechstore
Fonatechstore tunaheshimu faragha yako. Policy hii inaeleza jinsi tunavyokusanya na kutumia taarifa zako.
1. Information We Collect
Tunaweza kukusanya:
- Jina lako
- Namba ya simu
- Email address
- Ujumbe unaotutumia kupitia Contact Form
2. How We Use Your Information
Taarifa zako hutumika kwa:
- Kujibu maswali yako
- Kushughulikia oda zako
- Kuboresha huduma zetu
- Kuwasiliana nawe kuhusu bidhaa au huduma
3. Data Protection
Tunachukua hatua za kiusalama kulinda taarifa zako dhidi ya matumizi yasiyoidhinishwa.
4. Third-Party Services
Website yetu inaweza kuwa na link za mitandao ya kijamii au Take App. Hatuna udhibiti wa sera zao za faragha.
5. Contact
Kwa maswali kuhusu Privacy Policy:
Email: info@fonatech.store
Phone: +255 792 394 913